...mawaziri wake wako kama hawako....kama vile ma robbots wanaosubiri wawe tuned....so sad.....mfano hii tamthilia ya mihadarati sasa waziri husika inawezekanaje hasikiki??wakati biashara hii haramu anayetakiwa awe mstari wa mbele nayo ni yeye??...hii tamthilia tu peke yake ni kiini macho.....kinachotumika kuficha hali mbaya sana tuliyo nayo kama nchi....sasa wanawafunga midomo hadi wapinzani kwa kuwaweka rumande ili uchuro unaofanyika usisemwe.....
...hali ni mbya sana huko utumishi wa umma ...haki na maslahi ya waumishi yamweshikiliwa...uchumi gani unaokuwa wakati sekta ya umma iko doro??huo uchumi unajengwaje na watumishi wasiolipwa stahiki zao???.....ukienda koote huko ni vilio hadi vyuoni....ajira za wakufunzi zimesimama...waalimu hawatoshi...taasisi zimezuliwa kuajiri.....waalimu wanalia njaa stahiki zao.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.