Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

kweli mkuu... jamaa alikuwa anapondwa sana wanadai anajichekesha chekesha, wanadai badala ya kufanya mambo ya msingi yuko busy kupiga picha na wasanii.
leo yale yale waliyokuwa wanampondea ndiyo hayo hayo wanatumia kumsifia.
Naipenda sana tz
hata Magu akiondoka atasifiwa saaaaanaaaaaaaaa
 
LAKINI KWA UNAFIKI PIA TUPO VIWANGO VYA JUU
 
hata Magu akiondoka atasifiwa saaaaanaaaaaaaaa
Lazima asifiwe maana watanzania tuna tabia ya kusifia aliyepita na kuponda aliyepo.
enzi za mkapa watu walimsifia mwinyi, enzi za kikwete alisifiwa mkapa sitoshanhaa baada ya magu kuondoka atasifiwa
 
Eeeeh bwana Kikwete ni bonge la gentleman.
Mama Salma ana bahati sana kumpata mwanaume wa aina ya Kikwete.
Mzee hatakagi stress, ni kura bataz u know hahahaaaa
And I love it
Nifah umenifurahisha nmemkumbuka my kaka Le mbebez u know le akili kubwaz
 
Mbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.
katerero ndio nini mkuu
 
hahahaha ukiangalia comment za Bawacha humu utacheka sana....Asante Mh Jk umefanikisha kuwarudisha Bawacha kwenye mstari na sasa wanacheza mziki wako ...asante kwakutuletea Jembe John Pombe Magufuli....
 
Maisha ndio hayo sasa JK anajua kuenjoy life banaa.Sio kila saa mtu unawaza Katerero tu nooo kuna maisha mengine
Maisha yenyewe mafupi unajipa stress za kutaka viwanda,viwanda bongo? amesahau kwamba anawaongoza watanzania na sio wamarekani,anazani wenzake hawakutamani kuyafanya hayo?
This is Tz bana time will tell....

Kula maisha baba JK uondoe makunyanzi usoni....
 
Eeeeh bwana Kikwete ni bonge la gentleman.
Mama Salma ana bahati sana kumpata mwanaume wa aina ya Kikwete.
Mzee hatakagi stress, ni kura bataz u know hahahaaaa
And I love it

Umeona eeh!
 
Attachments

  • 1483600567386.png
    1483600567386.png
    414 KB · Views: 41
Back
Top Bottom