KERO Hakuna usalama kuacha salio kwenye simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Na umri wangu huu voda sijawahi itumia hata siku moja, tumia Airtel mkuu
Tigo- wanafunzi & dada wakazi
Voda - kina mama & wajasiriamali
Airtel - watu waheshima & matajiri 😂😂
Ukianza kufanya kazi serious utajua umuhimu wa Vodacom. Nimelazimika niitafute laini ya Voda baada ya kukwamishwa na Airtel na Tigo kwenye Mastercard. Na penyewe ni baada ya kumsajilia mtu VISA ya Voda nikaona anapewa huduma nzuri.

Tigo ninayo miaka kibao nikienda Mastercard wananipa miezi mitatu tu na mwezi huu wanadai kuna shida, Voda nimejiunga siku hiyohiyo wakanipa miaka mitatu. Yani kwa Tigo ilikuwa kila miezi mitatu nabadili Spotify, adds za Insta, Facebook, mara nadaiwa subscription. Airtel hao niliwaacha mara ulipe hela wakate mara mbilimbili.

Voda ni mtandao umetulia. Tigo unafuatia. Halotel wa mwisho huo ukija kwangu na laini yake nakuona una poor decision making skills.
 
Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.

Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada ya siku 3 ukakuta salio limekatwa ukipiga simu utaambiwa Kuna huduma ulijiunga na kiuhalisia hukuwahi kujiunga. Je, ni nani anayejiunga bila ridhaa?

Bado naendelea na utafiti wangu
Hawa jamaa ni wezi na walaaniwe kwa wizi wa mchana kweupe! Mimi wameniibia sana na kila nikipiga wanasema nimejiunga na huduma wakati sikuwahi! Wanakulazimisha na kukuingizia uongo mdomoni! Mimi nawalaani hadi ukoo wao mazima ulaaniwe! Niliwahi kupigwa matukia makubwa ya aina hiyo! Mimi ninachokifanya ni kuwa na hela kwenye Mpesa nikitaka kupiga simu naweka muda wa maongezi wa 200/= tu maana ukiweka kuanzia 300 wanaiba! Wameajiri vijana wadogo tamaa mbele wakihitaji utajiri wa haraka kitu amabacho sio kweli! Kazi kutengeneza viprogram vidogo vya kuiba 300 kwa kila mtu wakipata watu kama 1000 wanapiga 300,000/= kwa siku weekend unawakuta Kindimbwi wakila bata hela ya wizi na laana! Ndo maana wanakufaga Vifo vya ajabu vya ajari! Vodacom jitathimini!
 
Wamekuibia ngapi mkuu
Nilitumiwa salio LA kawaida, 20k
Nkajiunga kifurushi cha 15k, ikabaki 5k

Yaan nimekaa km masaa kadhaa, nkasema hii iliyobaki nimuunge mtu kifurushi, kucheki hivi eti salio hakuna.

Aseeh kupiga huduma kwa wateja, tena alipkea mdada anajibu upuuzi, niliwachambaaa na nkavunja line enyewe.

Situmii Tigo hata iwajee. Mtandao wa Wizi sijawahi ona. Khaah
 
Duh
 
😂😂 Pole
 
Ukianza kufanya kazi serious utajua umuhimu wa Vodacom. Nimelazimika niitafute laini ya Voda baada ya kukwamishwa na Airtel na Tigo kwenye Mastercard. Na penyewe ni baada ya kumsajilia mtu VISA ya Voda nikaona anapewa huduma nzuri.

Tigo ninayo miaka kibao nikienda Mastercard wananipa miezi mitatu tu na mwezi huu wanadai kuna shida, Voda nimejiunga siku hiyohiyo wakanipa miaka mitatu. Yani kwa Tigo ilikuwa kila miezi mitatu nabadili Spotify, adds za Insta, Facebook, mara nadaiwa subscription. Airtel hao niliwaacha mara ulipe hela wakate mara mbilimbili.

Voda ni mtandao umetulia. Tigo unafuatia. Halotel wa mwisho huo ukija kwangu na laini yake nakuona una poor decision making skills.
wengi hawajui na sio hivyo tu wengine hapa wanalalamika wakati hizo huduma wamejiunga wenyewe! mtu akipiga akisikia wimbo anaambiwa kuupata wimbo huu bonyeza moja na anabonyeza kuna yale ma sms mtu napo anayajibu hajasoma vizuri kumbe yanamakato! mi naweza kuweka salio voda na lisikatwe na data nishadhibiti matumizi bila bando au kwa bando..
hiyo mitandao miwili ndo mitandao bora kwasasa hapa nchini.
 
Usifikiri kila mtu nimjinga kuwa anashindwa kumbuka Kama amejiunga na huduma fulani. Wewe subiri Kuna siku utafikiwa
 
wengi hawajui na sio hivyo tu wengine hapa wanalalamika wakati hizo huduma wamejiunga wenyewe! mtu akipiga akisikia wimbo anaambiwa kuupata wimbo huu bonyeza moja na anabinyeza kuna yale ma sms mtu napo anayajibu hajasoma vizuri kumbe yanamakato! mi naweza kuweka salio voda na lisikatwe na data nishadhibiti matumizi bila bando su kwa bando..
hiyo mitandao miwili ndo mitandao bora kwasasa hapa nchini.
Wee utakuwa mfanyakazi wa Vodacom ndo maana unawatetea! Mimi nina miaka zaidi ya 20 tangu voda waingie nchini August 2000! Hii tabia ya wizi imeanza juzijuzi miaka takribani 2 au 3 nyuma! Mimi ni mtu wa IT professionally na ni mtu wa bata! Ukienda sehemu nyingi za starehe za watu wenye nazo ukakuta vijana wadogo in their early 30s or late 20s wanakula bata na kuchafua meza ukiwadadisi utagundua wanafanyakazi kwenye mitandao ya simu ya Vodacom na Tigo! Na wala sio wafanyakazi wa BoT wala TRA ambao wao wanapiga hela ndefu za kufuru lakini wakitaka kula bata huwa wanajificha wenye private facilities za mahoteli makubwa! Wanotuibia ni hawa vijana wadogo wenye tamaa katika haya makampuni ya simu. Uenda mameneja wanajua na wanakula nao. Eneo jingine la vijana kupiga hela (lakini sijawahi washuhudia) ni kwenye mabenki kama CRDB! Wewe kama una account benki na utatumia miamala ya ATM mara kwa mara nenda ukaombe benki statement ya miezi 3 (bure) utashuhudia makato ambayo hayana maelezo! Eneo jingine ni mifuko ya hifadhi ya jamii PSSSF na NSSF! Hawa jamaa ndo balaaa! Masikini wa Mungu mtu unastaafu ukiomba statement ya michango na kile unachokikuta kama una roho fupi utazimia! Ukiona watu wanapata majanga ya ajabu yanatokana na dhuruma (karma ni dhahiri) usiwahurumie! Huwezi kuiba jasho la mtu ukategemea utakuwa salama! Kama sio wewe basi wanao!
 
kumbe mi mfanyakazi wa voda na sijui..😂
mkuu binfsi siwezi wasema vibaya sijawahi kukutwa na swala hilo likinipata sitasita kusema!
 
Vodafone hawana cha maana ndio maana line yao kwangu iko kama bosheni tu hujakaa sawa ushakatwa salio lako nan sasa anataka upuuzi wa bure ivo
 
Back
Top Bottom