Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,173
- 5,562
Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.
Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada ya siku 3 ukakuta salio limekatwa ukipiga simu utaambiwa Kuna huduma ulijiunga na kiuhalisia hukuwahi kujiunga. Je, ni nani anayejiunga bila ridhaa?
Bado naendelea na utafiti wangu