Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
Acha makasiriko jamaa angu,
1. Kuna walimu wanaenda shule na hawaingii darasani
2. Kuna madaktari wanaandikia dawa ungonjwa haupo ili wauze dawa.
3. Kuna wafamasia wanawabambikia watu dawa zilizoisha muda.
4. Kuna viongizi wanatumia wadhfa wao kuumiza wengine au kwa maslahi binafsi.

Hawa wote ni waovu ila namna wanafanya uovu ni tofauti.

Avoid generalization
 
NI kweli. Lakini hakuna watumishi wanaotumia ofisi/madaraka yao vibaya kama Polisi. Uonevu dhidi ya masikini kwa lengo la kujipatia kipato ndio kazi ya kila siku ya asilimia 90 ya maafisa wa Polisi. Kusingizia watu kesi, kuchukua rushwa bila kujali maumivu ya wengine kwenye jambo husika, wengine mpaka wanaua na kusingizia eti wameua jambazi. Ukipeleka kesi yako genuine na huna pesa au hakuna uwezekano wa kutengeneza pesa kwenye hiyo kesi hakuna askari atajishughulisha nayo. Polisi ni laana kuliko laana yenyewe.
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom