Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,612
Nazungumzia demokrasia ndani ya vyama, ya Zanzibar mimi na wewe hatuyajui vizuri tuwaachie wenyewe. Mbowe alipaswa kuondoka mwaka 2014 baada ya kipindi chake kumalizika, yeye na wachache wanaomuunga mkono wakapindisha matakwa ya demokrasia, hiyo ndio pointi yangu, mambo ya Zanzibar yameanza zamani sana, tunachokiona ni muendelezo wa mengi tusiyoyafahamuKama issue ni democrasi CCM isingeng'ang'aina Zanzibar. Ondoa boriti kwenye jicho lako kwanza kabla ya kuituhumu CDM