Upo sahihi,Mimi namwona haji ataleta vurugu pale yanga.Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa.
Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ninfikra za kinjaa njaa sana
Ukimsikiliza anavyoongea, ni kama yuko karibu na GSM na juu ya Hersi.Haji ni bingwa wa fitna Ali Kamwe awe makini, Haji kashajichagua kuwa yeye ndo msemaji siku ya wananchi, Hassan Bumbuli aliachana na Yanga baada ya kirusi Haji kuingia kwenye kitengo
Yale mambo ya kuropoka kuwatukana wengine sikuizi yamepitwa na wakati. Kina Kamwe wameset standard, wanawasema makolo huku nyuma press imedhaminiwa na Sponsors kibao Timu inaingiza mpunga kwenye kila event.Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa.
Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
Manara akili yake ni ndogo mnoo.Yale mambo ya kuropoka kuwatukana wengine sikuizi yamepitwa na wakati. Kina Kamwe wameset standard, wanawasema makolo huku nyuma press imedhaminiwa na Sponsors kibao Timu inaingiza mpunga kwenye kila event.
You said it all.Ukimsikiliza anavyoongea, ni kama yuko karibu na GSM na juu ya Hersi.
Yaani hapangiwi kazi na Hersi Wala CEO Mtine.
Na mpira kwasasa umekuwa, Yanga inakuwa kwa kasi Sana nje ya nchi, ila Manara bado ana akili za sisi wa mjini Kariakoo, tumekulia Jangwani na Manzese. Akili Kama za Magoma
Manara ana tatizo la kisaikolojia la kujipa umuhimu kwenye kila kitu.Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa.
Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
Kama kuna mwana Yanga SC anayeamini kuwa Haji Manara ni mwana Yanga SC 100% basi atakuwa ni Mpumbavu!!!!Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa.
Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
View attachment 3053450