Hakuna sababu ya Haji Manara kufosi kupewa ajira Yanga. Abaki kama Shabiki, Mdau na Mwanachama akipenda

Haji hafai Yanga atafute ajira nyingine nje ya soka kama ataweza
1719939726984.jpg
 
Haji ni bingwa wa fitna Ali Kamwe awe makini, Haji kashajichagua kuwa yeye ndo msemaji siku ya wananchi, Hassan Bumbuli aliachana na Yanga baada ya kirusi Haji kuingia kwenye kitengo
Ukimsikiliza anavyoongea, ni kama yuko karibu na GSM na juu ya Hersi.

Yaani hapangiwi kazi na Hersi Wala CEO Mtine.

Na mpira kwasasa umekuwa, Yanga inakuwa kwa kasi Sana nje ya nchi, ila Manara bado ana akili za sisi wa mjini Kariakoo, tumekulia Jangwani na Manzese. Akili Kama za Magoma
 
Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa.

Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
Yale mambo ya kuropoka kuwatukana wengine sikuizi yamepitwa na wakati. Kina Kamwe wameset standard, wanawasema makolo huku nyuma press imedhaminiwa na Sponsors kibao Timu inaingiza mpunga kwenye kila event.
 
Manara akili yake ni ndogo mnoo.
 
Ukimsikiliza anavyoongea, ni kama yuko karibu na GSM na juu ya Hersi.

Yaani hapangiwi kazi na Hersi Wala CEO Mtine.

Na mpira kwasasa umekuwa, Yanga inakuwa kwa kasi Sana nje ya nchi, ila Manara bado ana akili za sisi wa mjini Kariakoo, tumekulia Jangwani na Manzese. Akili Kama za Magoma
You said it all.
 
Back
Top Bottom