pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 653
- Thread starter
- #21
ndi
ndio maana nimesema tabia ni kitu cha kujifunza na mazingira. genetic similarity inaweza kusaidia wengine kuitransmit kama mazingira yanawaruhusu. point sio kwamba watu wasitafute vyao au kuoa, point ni kwamba watu waoe na kulea watoto katika mazingira mazuri maana walijipanga vizuri kwa hilo. tunachokisema ni kuhusu kuoa kwa mkumbo au presha kutaka kwa jamii au nduguMnaweza kuwa genetically sawa lakini mkatofautiana tabia ambazo mara nyingi huathiriwa na mazingira na tabia hizi ndizo zinazoweza kutambua mwelekeo wa mtu why can't you strive to achieve yours do you leave your gene at the mess of your brother or sister?