Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k.
Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka inayotaayarishwa na Serikali na siyo wenyewe hivyo sioni maana ya kuwa na Wabunge wengi mjengoni bila kazi yeyote wanayofanya.