Tanzania ya Watanzania
Senior Member
- Apr 28, 2024
- 102
- 69
Wasalaam Jf,
Vijana Wakizalendo bila kujali itikadi za vyama vyao wametoa tamko kwa kile kinachosemwa na Upinzani kuwa ni maridhiano baina yao na CCM Tanzania.
Akizungumza na Waandishi wa habari Mratibu wa Movement Samia Kitaifa Bw Ng'wigulu Nyerere Shigela amesema anashangazwa na CHADEMA kusema eti wanamaridhiano na CCM,
Shigela anasema kuwa CCM ni taasisi sio mtu mmoja, Shigela anahoji ni lini Viongozi wa CCM na Viongozi wa CHADEMA walifanya vikao vya maridhiano kwa pamoja?
Shigela anasema kitendo Cha Cha Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe kukaa na Rais Dkt Samia Suluhu na kupiga stori za hali ya kisiasa hayo sio maridhiano ya Vyama vya Siasa,
Endelea kumsikiliza:-