- Thread starter
- #101
Kiongozi, huu ni ukweli mchungu sana.
Tulipinga dini -> Sasa hivi tunawazidi kwa imani hao walioleta dini kwetu.
Tulipinga elimu -> Tizama sasa tuko wapi.
Tulipinga siasa zao -> Tunafanya nini sasa.
Wameleta technolojia -> tumekuwa limbukeni wa teknolojia yao.
.....na hayo mengine it's just a matter of time. Sad truth.
Mkuu watu hupenda kupingana na ukweli. Tutakubali tu.....