Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,205
- 95,964
Kila chimbo lako napoingia sikukuti. Machimbo mengine nshapoteza njiasawa babu......
babu unanitafutia wapi wakati machimbo yangu yote unayajua.
Kila chimbo lako napoingia sikukuti. Machimbo mengine nshapoteza njiasawa babu......
babu unanitafutia wapi wakati machimbo yangu yote unayajua.
aya basi tukutane kwenye party ya Mtambuzi.Kila chimbo lako napoingia sikukuti. Machimbo mengine nshapoteza njia
Ole wako unichomeshe mahindiaya basi tukutane kwenye party ya Mtambuzi.
ndiyo mshenga babu.......sasa utaletaje mahari bila mshenga..........Asa mtambuzi kaingiaje hapa wakati mi nakutaka wewe?
Mi ni jeshi la mtu mmoja....ndiyo mshenga babu.......sasa utaletaje mahari bila mshenga..........
sawa babu..............Mi ni jeshi la mtu mmoja....
Saved......sawa babu..............