Kiukweli nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali hapa jukwaani,nilichojifunza
Mosi: Ikiletwa hoja inayolinda maslahi ya Tanzania,Wengi huungana kutetea maslahi ya nchi bila kujali itikadi, hapa ndipo wachache huwabagua waliowengi kwa kuwaita wenzao wapinzani.
Pili: Inapoletwa hoja inayobeba sifa ya mtu mmojammoja wachache huungana na kutoa sifa lukuki kwa huyo mtu kwa maslahi yao na kutelekeza maslahi ya umma.
Kama Taifa tunapaswa kutafakari tuegemee upande upi kwa ajili ya kesho ya Taifa hili