copyright
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 564
- 556
Habari gani wakuu?
Leo nimeanza rasmi kuwekeza kwenye M-Wekeza ya Vodacom ambayo inaestmet faida ya takribani 13% kwa mwaka na nimepanga kutenga kila 10% ya pesa yyte itakayoingia kwenye Mpesa yangu.
Kiukweli kwa hili tuna kila sababu ya kuwapa kongole Vodacom mana tunaweza kuwekeza kuanzia buku tu, tofauti na sehemu, kampuni au taasis nyingne nyingi.
Pia naomba niwashauri Voda waweke standing order kwa percentage kwa kila muamala utakaoingia, kwa mfano labda nataka nikatwe 10% kwa kila muamala nitakaopokea..
Ndugu zangu Watanzania naomba tuchangamkie hizi fursa, pia kuna UTT, shares za makampuni tofauti tofauti.. mwanzoni unaweza kuona hamna faida ila kadri uwekezaji wako utakavyokuwa na faida itaongezeka, jambo la msingi tusitoe akiba at least tuziache kwa miaka kàdhaa.
Naomba Kuwasilisha!