Inadaiwa Haji na Mkewe Zai, wanamtuhumu MaiMartha Jesse kwa kumtusi Mkewe Zailyisa kupitia mahojiano na Online Tv yake ya Mai Tv, kuwa ni mwanamke asiyefaa kuwa mke wa Mtu kutokana na kitendo chake Cha "Kutoka" na ex wake siku Moja kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu, walipokutana katika harusi ya mrembo mmoja maarufu Tanzania
Pia Mai anatuhumiwa kwa kumuita Haji kuwa ni Mume goi goi na asiyefaa kuwa Mume wa Mtu.
Kwamba maneno haya ya kashfa yameharibu taswira Yao na kuwashushia heshma katika jamii na kazi zao.
Hivyo Haji amemtaka MaiMartha amlipe fidia ya shilingi billion Moja (1,000,000,000/=) na amtake radhi hadharani.