Haji Manara: Afe kipa, afe beki. Kufungwa watafungwa tu

Ikumbukwe 25/02/2017 katika dimba la Taifa, mnyama mkali mwituni, Simba atakua akipambana na Ndala katika mechi ya mzunguko wa pili wa VPL. Mda mfupi uliopita, msemaji wa Simba SC, Haji Manara kaandika haya katika ukurasa wake wa Instagram juu ya mechi hiyo;

862b559aa29b38d0b647e588bdc92d50.jpg

b6689c721063ec7e84b40326a40a01bb.jpg

11de7534fffa2220e410f796247947db.jpg


Mwisho wa kumnukuu. Asanteni.
Well Said mkuu...big Manara na macomrade wote wa Simba SC.
 
Back
Top Bottom