Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,405
- 7,779
Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali
Kichwa cha habari chahusika?
Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki
Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?
Ni chuki? Wivu? Propaganda? Mikakati? Au mbinu za waasisi kuwa na waumini wa uhakika ndani ya Kanisa husika.
Na je wakihubiri bila kutaja Kanisa la Mitume ni itakuwa athari Kwa Kanisa hilo hususani upande wa waamini
Je waumini wanaimani na Kanisa hilo kwakuwa wamepewa mawazo hasi dhidi ya Ukatoliki au ni kwakuwa wanaimani na mafundisho ya Kanisa hilo?
Niwatakie usiku mwema