Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Mbowe hatarI sanaHaya ndio matatizo ya kula unga.
Mbowe hatarI sanaHaya ndio matatizo ya kula unga.
Sasa hivi anakula malimauHivi ni gwajima ndo alisemaga Lowasa asipokua raisi najiua ama ni mchungaji yupi
Sio shekhe mkuu wa Dar Kweli? Sikumbuki vizuri!Hivi ni gwajima ndo alisemaga Lowasa asipokua raisi najiua ama ni mchungaji yupi
Nimeeleza katika hoja yangu ya msingi,kuwa Mungu hatengui unabii wake.dotto Mungu anapopatia watu wake Unabii kuna wakati huwa anautengua kutokana na makosa wanyofanya wenye kubeba unabii huo....Musa aliteuliwa kuwapeleka Waisraeli nchi ya ahadi lakini Unabii huo haukutimia. Daudi alipaswa kuwa mfalme bora kuliko Sauli lakini baada ya kumchukua mke wa Uriah ufalme ulitolewa kwake. Ili unabii utimie ni lazima mbebe unabii abaki katika hali iliyosababisha unabii uwepo.
Isitoshe unajiita JINIKINYONGA....ni ngumu kwa jini kumsemea vizuri Mtumishi wa Mungu.
picha uliyoweka ndio kitu cha maana tu kwenye thread yako hii...
Kwa kweli hiyo picha imenikumbusha mengi sana. Pamoja na kwamba mwisho wa siku NEC ilimtangaza JPJM kuwa mshindi, ENL amenifundisha mengi sana.Hiyo picha ya Lowassa inanipa raha sana mbali na kwakweli inanikumbusha mbali.
Huyu mzee kaandika historia kubwa sana.
No wonder mikutano ya siasa imezuiwa.
Naona unabisha kitu amabacho hukijui vyema ndugu DottoNimeeleza katika hoja yangu ya msingi,kuwa Mungu hatengui unabii wake.
Usichanganye duwa iliyopewa jawabu ya kutimizwa na unabii.
Kuhusu Ufalme wa Israeli kugawanywa falme mbili, za Yuda na Israeli,,, si unabii.uliotenguliwa bali unabii uliotimizwa.