Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,111
- 24,923
Kwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition Congo akarudishwa hapa. Manake ni wazi ametapeli wabongo wengi sana. DPP na DCI tuseme hamjaona kosa lolote la huy tapeli mchawi?
Pia, soma: Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio
Pia, soma: Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio