ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,164
- 3,991
Watanzania wana imani kubwa sana na CCM Ndio maana wanaendelea kumiminika na kuingia ndani ya CCM. Upinzani watabakia wasio jitambua tu.
Watanzania wana imani kubwa sana na CCM Ndio maana wanaendelea kumiminika na kuingia ndani ya CCM. Upinzani watabakia wasio jitambua tu.
Seems Sukumar gang haikuridhika na siasa ya Mama Samia ya kuachana na Ile Biashara ya ununuzi wa watu kwa visingizio vya ''kuunga mkono juhudi''. Ameingia tuu Makonda taratibu tunaanza kusikia flani karudi CCM. Utapeli wa Hali ya juu.Nchi ngumu Sana 😂😂😂
Ccm wana siasa za kizamani sana. Hizi siasa za kununua wapinzani zime pitwa na wakati.Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi kadi ya chama alichokuwa awali na kuchukua kadi ya CCM.
Amefuja urithi wa mumewe mbele ya safari atakisaliti hicho chama kipyaMjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi kadi ya chama alichokuwa awali na kuchukua kadi ya CCM.