Unakosa msimamo sasa! Nimekuuliza ukasema hujaungana nao! Au this happened 10 minutes ago!?Tupo wengi nisingeweza "kuwasusa" wenzangu.
Wanadai vipi wakati wapo Ukonga??Hii nchi yetu ya ajabu sana, na wote tuliomo tunatakiwa kuwekwa makumbusho vizazi vijavyo waje kutushangaa; hawa wanafurahia ushindi feki, na wale wengine wanaogopa kudai haki zao uchaguzi urudiwe kwasababu haukuwa huru na haki.
Sijui tumelogwa?!
Pole upinzaniSi chukii kuzaliwa Tanzania ila ninachukia kuwa sehemu ya huu ujinga.
Huyo nae hawapendi wapinzani wake anawaona kama msadui, alianza kumtesa Besigye, sasa ni Boby Wine, wamekutana wote wanaofanana tabia.Dikteta Museven anampiga dongo Mbowe na anasema eti tusikilize na kuangalia TBC huyu Rais wa Uganda ovyo kabisa unaingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine
Msiba hauna mwenyewePole upinzani
Mungu alituacha tujiandae tu kulala bila boksa,tulichezea shilling chooniTuombe sana Mungu atuepushie kikombe hiki
Sawa, leo kwako kesho kwangu,Msiba hauna mwenyewe