Hadi saa 12 kamili muda huu Januari Makamba hajarejesha fomu ya maadili

Sio kutaja mali tu na kurudisha form tunataka kujua hizo mali walizipataje, akishindwa kueleza source za mali zake basi avuliwe uwaziri na kufikishwa mahakamani na washitakiwe kwa makosa ya kuuza unga na kuua tembo wetu.
 
Nitafurahi hadi jino la mwisho makamba akifutwa uwaziri,ndio nitamuamini magufuli
Wivu unakusumbua, makamba ataendelea kukupa dozi mpaka unyooke, he's there to stay! Magufuli hataki kuaminiwa na watu kama wewe, isitoshe ulishakana uraia wako! Nakushangaa uko bize na wivu kwa mtanzania Januari.
 
Nitafurahi hadi jino la mwisho makamba akifutwa uwaziri,ndio nitamuamini magufuli
Wivu unakusumbua, makamba ataendelea kukupa dozi mpaka unyooke, he's there to stay! Magufuli hataki kuaminiwa na watu kama wewe, isitoshe ulishakana uraia wako! Nakushangaa uko bize na wivu kwa mtanzania Januari. Rais wenu kawapa za uso akiwa Israel, anzia hapo kwanza kujikanda uso!
 
Eti Nipo ndani sana ya idara nyeti, Watu wenye nyeti huwa hawajitambulishi.
 
Nipo ndani kabisa ya idara nyeti ya serikali.hadi muda huu januari makamba hajarejesha fomu ya tamko la mali na madeni kama walivyokuwa wameagizwa na mheshimiwa rais.

Mhe maiga amerejesha,fomu ya kitwanga na mpina zilikuwa misplaced na sasa zimeonekana.

Tunasubiri hatua ya rais kwani sasa ni saa 12 na dakika 4 jioni.
Na dk 28
 
Natarajia kusikia Safue akitoa tamko la kwamba January alirejesha fomu wikitatu zilizo pita, isipokua alie zipokea hakuziwakilisha kwa wakati.
 
We bibi tuliza wowowo hilo!! Wewe nani hadi usemee watu....Mods ni baba zako:mad:
Namshangaa huyu raia anayemuongelea januari, narudia kusema hadi muda huu fomu ya januari haijapokelewa
 
January bado anaumiza matumbo bavicha, kile kichwa! Form zake zilishawasilishwa kitambo sana na bahati mbaya ameamua kufanya mambo kimya kimya!
Anacheza tu na akili za nyumbu kama zile picha alizopost kipindi kile!




Jana kulikuwa na semina ya Mawaziri.Sekretarieti ya Maadili ya Umma ilitoa semina na kuwasilisha majina ya mawaziri ambao hawakukamilisha na kurudisha fomu ya maadili ya Umma kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Tatizo la Uadilifu ndani ya nchi yetu limekuwa sugu na tumelipigia kelele sana . Tatizo la Ufisadi kwa namna moja au nyingine limetokana na mmomonyoko wa maadili(Moral Degradation).

Waziri Mkuu kwa niaba ya Rais alitoa maelekezo ya kuwataka mawaziri wahakikishe wamekamilisha ujazaji wa fomu hizo hadi leo saa 12 jioni vinginevyo watakuwa wamejiondoa wenyewe.

Ina maana waziri ambaye atakuwa hajarudisha fomu atakuwa amefanya "Insurbodination" na haamini katika dhana ya uwajibikaji .

Nimempongeza January Makamba kwa sababu kupitia kwake tutaweza kuona uthubutu/woga wa Magufuli dhidi ya Wasaidizi wake wakuu maana waziri ni Mshauri wa Rais kupitia Baraza la Mawaziri.

Hadi saa 12:45 jioni ya Leo hakuna Uthibitisho kama January amerudisha fomu kama alivyofanya Waziri wa Mambo ya Nje Dr.Agustine Mahiga na Wengine.

Tunasubiri kuona kama Rais atachukua hatua au atafunika kombe na kuwa mtetezi wa mtu aliyevunja sheria ya Maadili ya watumishi wa umma kama ishara ya woga kwa vile aliingia nae tano bora kwenye mchujo wa kura ya maoni ndani Ya CCM au kwa vile alikuwa msemaji wa Chama kwenye kampeni

Hongera sana January kwa kumpa Rais Changamoto ili Tumjue kama yuko "Principled" au ni "Mnafiki na Mwoga".Wewe umeshaonyesha Msimamo wako dhidi ya Sheria hii ya Maadili.Bado Rais sasa .

Aluta Continua,Victory Ascerta.....

Ben Saanane
 
Eti wanapimana uchawi wa kisambaa na wa kisukuma upi mkali, yetu macho kujionea, masikio au kichwa kipi kinachotakiwa kuzidi?
 
Back
Top Bottom