MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,285
- 50,552
- Thread starter
- #21
Quality unayozungimza kuhusu ni ile ya milioni kumi pesa za mboga. Hapa hamna pa kutokea sisi ndio baba na mama ukanda huu.Sisi hatuangalii QUANTITY tunaangalia QUALITY!! Utekelezaji wa Budget ndio kitu pekee cha mhimu tu!!
Unaweza ukawa na Budget ya $22 bln, Implementation ni $7bln!! Zingine waziri kanunua kalamu ya laki1!
Kenya kwenye wizi mnarank 1.
Inshort Waziri wa fedha kafidia na wizi. Kwahiyo hiyo budget yenu ni sawa na ya TANZANIA tu.