#COVID19 Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

Unaongea kishabiki na hata haujui unalo ongea. Mimi naisha hapa Marekani si kweli unayosema. Marekani ina watu zaidi ya 329.5 M na 35% ni watu 115M ambao hawajachanja. Hospital wagojwa asilimia 95% ni watu ambao awajachanja. Chanjo zinafanya kazi vizuri sana tatizo ni kwa wale wasiochanja. Lakini kuna watu wachache wamechanja wanapata corona "break through" lakini hawalazwi au kuzidiwa. Na kinga ziko wazi zinazuia 70%-95% hivyo uwezekano wa kuambuliza upo na hii ni kwa kinga zote.
Na mimi pia naishi Amerika nafahamu watu ambao wamechanjwa wakaumwa na ambao wamekufa. Unataka aje na anayeishi Uk? Jamiiforums bwana.
 
Vifo vya Watu 1709 Kati ya watu 350 000 000 ni asilimia ngapi?
Waulize wanaotaka tuiogope Corona kana kwamba akiugua mtu lazima afe,wakati watu wengi wamepona.
Maambukizi 235m
Waliopona 214m
Vifo 4m,Afrika hata 500000 haifiki.
Corona Afrika ni mafua tu.
 
Propaganda mfu hizi. Nenda kachanje, acha porojo.
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna cha herd immunity wala baba yake na herd immunity! Pamoja na Marekani kufikia kiwango kinachotegemewa kupata kinga kwa kundi zima la raia wao, lakini bado corona imeambukiza watu 102,090, na imeua watu 1,709 kwa jana peke yake!!
Huu ni ushahidi tosha kuwa chanjo haizuii maambukizi mapya wala haizuii vifo!! Hizi ni taarifa za wazi ambazo kila mmoja anaweza kuziona akitaka!! Kinachoshangaza ni watu kuamua kujitoa ufahamu na kuwadanganya watu kuwa chanjo itawalinda na corona!! Hao wanaoambukizwa kila siku wengi wao wana chanjo mbili!! Je wewe unayeng'ang'nia watu wachanje kachanjo kamoja katika jamii ambayo waliochanjwa hawafiki hata asilimia 1% utakuwa umesaidia nini% Kama asilimia 65% imeshindwa kuwakinga waliochanjwa je asilimia 1% kwa hapa
Tanzania itaweza kuwakinga? ( mpaka majuzi, watu waliokuwa wamechanjwa Tanzania walikuwa asili ia 0.5%).
Kila mmoja ni shahidi kuwa Tanzania ambao hatujapata chanjo tuko salama kuliko Marekani walikochanjwa wengi! Huu ni ushahidi wa wazi unaoonesha kuwa mbinu tuliyotumia watanzania ya ku tanguliza Mungu katika vita hii ya corona, inafanya kazi vizuri na kwa uhakika kulika mbinu ya kutanguliza "sayansi" na kumpa Mungu nafasi ya pili!! Mawakala wa mabeberu wanaitafuta corona kwa tochi hapa Tanzania hadi wanalazimika kutoa data za uongo ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie "mkopo". Kwa kweli watanzania tutakuwa watu wa ajabu sana kama tusipoweza kuona uponyaji huu mkubwa sana kwa Taifa letu!!
 
Acha porojo, takwimu za Amerika umepata wapi, japo wao takwimu zao zipo wazi, tuletee na takwimu za kwenu. Tujue unasena ukweli au ni ugwaji tu, je unajua idadi ya waamerika au kupotosha tu kwakuwa unaogopa sindano.
Hivi unaelewa hata ulichokiandika!!?
 
Mkuu Tanzania yetu hii imejaaa vilaza sana, alivyoandika mwenyewe kajiona bonge la mjanja pale.Hesabu Mdogo tu imemtoa kapa.Alivyoona maambukizi mapya 102,000 akasahau kutuletea hiyo 35% wasiochanjwa wapo wangapi kwenye hayo maambukizi.Ndio wanasiasa wanawaweza watanzania kwa kuwaambia uongo kisa wananchi wanapenda kudanganywa.
Hiyo idadi ya maambukizi mapya na vifo ni kwa siku moja.

Na hiyo idadi ilikuwa karibia hivyohivyo hata kabla hawajachanjwa. Hapo chanjo imesaidia nini?

Una uelewa wowote kuhusu herd immunity? Au unakimbilia kuchangia kitu usichokielewa?
 
Ndio mtupe takwimu waliochanjwa kwenye hayo maambukizi idadi yao na waliofariki.Ndio mje na hitimisho lenu chanjo hazifanyi Kazi yoyote.Unatujia na takwimu nusu nusu maana tunajua hivyo virus vinajabidilisha kila wakati na maambukizi mapya hutokea napo.
 
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna cha herd immunity wala baba yake na herd immunity! Pamoja na Marekani kufikia kiwango kinachotegemewa kupata kinga kwa kundi zima la raia wao, lakini bado corona imeambukiza watu 102,090, na imeua watu 1,709 kwa jana peke yake!!
Huu ni ushahidi tosha kuwa chanjo haizuii maambukizi mapya wala haizuii vifo!! Hizi ni taarifa za wazi ambazo kila mmoja anaweza kuziona akitaka!! Kinachoshangaza ni watu kuamua kujitoa ufahamu na kuwadanganya watu kuwa chanjo itawalinda na corona!! Hao wanaoambukizwa kila siku wengi wao wana chanjo mbili!! Je wewe unayeng'ang'nia watu wachanje kachanjo kamoja katika jamii ambayo waliochanjwa hawafiki hata asilimia 1% utakuwa umesaidia nini% Kama asilimia 65% imeshindwa kuwakinga waliochanjwa je asilimia 1% kwa hapa
Tanzania itaweza kuwakinga? ( mpaka majuzi, watu waliokuwa wamechanjwa Tanzania walikuwa asili ia 0.5%).
Kila mmoja ni shahidi kuwa Tanzania ambao hatujapata chanjo tuko salama kuliko Marekani walikochanjwa wengi! Huu ni ushahidi wa wazi unaoonesha kuwa mbinu tuliyotumia watanzania ya ku tanguliza Mungu katika vita hii ya corona, inafanya kazi vizuri na kwa uhakika kulika mbinu ya kutanguliza "sayansi" na kumpa Mungu nafasi ya pili!! Mawakala wa mabeberu wanaitafuta corona kwa tochi hapa Tanzania hadi wanalazimika kutoa data za uongo ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie "mkopo". Kwa kweli watanzania tutakuwa watu wa ajabu sana kama tusipoweza kuona uponyaji huu mkubwa sana kwa Taifa letu!!
Nenda kachanje acha usukuma wewe, kama hutaki endelea na shughuli zako kwani chanjo siyo lazima.
 
Ndio mtupe takwimu waliochanjwa kwenye hayo maambukizi idadi yao na waliofariki.Ndio mje na hitimisho lenu chanjo hazifanyi Kazi yoyote.Unatujia na takwimu nusu nusu maana tunajua hivyo virus vinajabidilisha kila wakati na maambukizi mapya hutokea napo.
Herd immunity ni nini?
 
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna cha herd immunity wala baba yake na herd immunity! Pamoja na Marekani kufikia kiwango kinachotegemewa kupata kinga kwa kundi zima la raia wao, lakini bado corona imeambukiza watu 102,090, na imeua watu 1,709 kwa jana peke yake!!
Huu ni ushahidi tosha kuwa chanjo haizuii maambukizi mapya wala haizuii vifo!! Hizi ni taarifa za wazi ambazo kila mmoja anaweza kuziona akitaka!! Kinachoshangaza ni watu kuamua kujitoa ufahamu na kuwadanganya watu kuwa chanjo itawalinda na corona!! Hao wanaoambukizwa kila siku wengi wao wana chanjo mbili!! Je wewe unayeng'ang'nia watu wachanje kachanjo kamoja katika jamii ambayo waliochanjwa hawafiki hata asilimia 1% utakuwa umesaidia nini% Kama asilimia 65% imeshindwa kuwakinga waliochanjwa je asilimia 1% kwa hapa
Tanzania itaweza kuwakinga? ( mpaka majuzi, watu waliokuwa wamechanjwa Tanzania walikuwa asili ia 0.5%).
Kila mmoja ni shahidi kuwa Tanzania ambao hatujapata chanjo tuko salama kuliko Marekani walikochanjwa wengi! Huu ni ushahidi wa wazi unaoonesha kuwa mbinu tuliyotumia watanzania ya ku tanguliza Mungu katika vita hii ya corona, inafanya kazi vizuri na kwa uhakika kulika mbinu ya kutanguliza "sayansi" na kumpa Mungu nafasi ya pili!! Mawakala wa mabeberu wanaitafuta corona kwa tochi hapa Tanzania hadi wanalazimika kutoa data za uongo ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie "mkopo". Kwa kweli watanzania tutakuwa watu wa ajabu sana kama tusipoweza kuona uponyaji huu mkubwa sana kwa Taifa letu!!
hata marekani chanjo si lazima. tumia nguvu zako kwa kujiongezea kipato acha upuuzi kwa jambo ambalo ni hiari
 
chanjo inapunguza severity hospitalizations na vifo, so maambukizi yanaweza kupanda ila idadi ya wanaohitaji kulazwa kuzidiwa ht kufa inapungua ndio maana nchi km UK na israel zmefungua nchi zao licha ya maambukizi kuongezeka, kwa aliechanja corona c hatari km asiechanja, mbn hz mambo zinaongelewa kila siku!!!!
 
Corona na chanjo zake ni kiini macho, kinacholengwa hapo ni ku restrict access and movement of people, kutengeza a global economic catastrophe ambayo itafanya nchi nyingi hasa zinazoendelea kuwa reliant kwa mabeberu ambao watawasaidia kwa masharti kibao kama tulivyoanza kushuhudia hapa kwa chifu hangaya. Hizi ni calculated moves zinazofanywa na mawakala wa ibilisi kwenye ulimwengu wa giza.....tujiandae kisaikolojia huenda tumeingia kweye msimu mpya wa maisha, huenda ikawa ni kipindi cha kuelekea mwisho wa ulimwengu.​
 
Aisee,Magufuli kaharibu hadi wenye ufahamu na kuwa mabogus!
 
Binafsi sichaji na Wala sitaki kusikia hbr za waliochanjwa na wasiochanjwa sihusiki na nyie nyote
 
Back
Top Bottom