Habari zenu nahitaji mwanamke wa kuoa sasa, haijalishi umri wake

Evelyn asante utanicheki whatsapp 0659777650

Na hii ni ya kupiga 0683201492

Ntashukuru
Nahisi huyu jamaa atakuwa na genye alafu ni domo zege sio bure. Miaka 28 unawah wap na speed hii....?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Shemeji mambo, sasa mdogo angu anauliza kama hauna kazi mtakula godoro? Shem nimwambieje
Shem muambie kula atakula zimekosekana hela za kupanda magari tu na majaji na boda boda

Ila za kula na kupanda dalala na kupendeza zipo atapendeza
 
Mkuu upo serious, kama vile ni kweli..
ffn sikila jambo ni masiara naongea kutoka moyoni mwangu

Na hii nahitaji kutengeneza historia kuwa ninajenga familia yangu kwa kukutanishwa na mke wangu kupitia jf
 
ffn sikila jambo ni masiara naongea kutoka moyoni mwangu

Na hii nahitaji kutengeneza historia kuwa ninajenga familia yangu kwa kukutanishwa na mke wangu kupitia jf
Unateke risk kubwa sana kama kweli unamaanisha. Yan hii risk unayotake ni zaidi ya kusafirisha cocaine kwenda Indonesia.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Unateke risk kubwa sana kama kweli unamaanisha. Yan hii risk unayotake ni zaidi ya kusafirisha cocaine kwenda Indonesia.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ahahhahhahhaha mkuu niko sirias sana lamda evelin shem wangu aniangushe tu
 
Nakushauri tuliza akili yako pata kaz kwanza,,au jiajiri kwanza umri wako unaruhusu jipe mda kwanza ukiwa vizur utawaona wengi tu wanakuja huna haja ya kutokwa na jasho kutafuta mke,,mtu huna kaz yeyote utamlisha nn huyo mke?
 
Mm naitwa moody kabwe nina umri wa miaka 28

Nahitaji mke wa kuo ila mimi kwa sasa sina kazi niliachishwa kazi kipindi cha kampeni za uchaguzi na bos wangu yeye ni ccm baadala ya mimi kutekeleza majukumu yangu ya kichama mimi ni kiongozi wa chama ni katibu wa vijana wa kata ya kigogo

Nina cheo kingine ndani ya chama naomba nsikitaje kiusalama

Mashariti
Anipende kweli sio akipata watoto anikimbie

Atambue tu kwa sasa sina kazi hivyo awe mvumilivu sije nitesa kwakua sina kazi

Awe tayari kuniruhusu kufanya mambo yangu ya harakati za jamii sehemu mbali mbali

Kwa maelezo zaidi kama mtu yuko tayari tuanze maisha na yeye mwanamke huyo ya 2016
Mawasiliano yangu 068320492
hahahaha nenda lumumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom