barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Tunasubiri TAMKO ZITO kutoka chadema, kama kawa!Nimepita Mwanza, bendera za CHADEMA bado zinapepea mitaani mpaka leo. Wewe unatype ukiwa huko Lumumba unadhani utawadanganya watu wote?! Ficha upuuzi wako.