Habari njema kwa wapenzi wa Nokia

Agera 1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
4,108
4,244
Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk

Kisha zikatoka upgrade yake kidogo nikimaanisha

Kisha mwaka 2018 zilitoka kama Nokia 2.1, 3.1,5.1 , 6.1 ,7.1 , 8.1

Baadae mwaka huo huo wakaja na 5.1 plus 8.1 plus nk.

Kisha mwaka 2019 tukashuhudia series zingne kama kama Nokia 2.2, 4.2, 3.2, 6.2 7.2 Nokia 4.2

Kisha December mwaka jana tukaona muendelezo wa Nokia 2 ambayo ni Nokia 2.3 ambayo ni special kwa mwaka huu

Muendelezo wa Nokia 5, 6 and 8 ukachelewa sababu walichelewa hata hivo kutoa simu za mwaka jana

Sasa tarehe 19 mach Nokia 1.3 ,5.3 na Nokia 8.3 zikawa announced

Where Nokia 8.3 itakuja na display ya 6.81inch

Android 10 already

Snapdragon 765 ( 7nm )

Ram option kati ya 6 au 8

Rom 64 kwa 128GB

Quad camera
Utra wide 64mp
Wide. 12mp
Macro. 2mp
Depth. 2mp
Zeiss camera

Kwenye battery kama tulivoona nokia 2 na 2.1 na 3.2 kuja na battery kubwa kabisa kuliko zote la 4000mah basi kwenye 8.3 litakuepo la 4500mah lithium polymer

Nokia 8.3
nokia-83-5g-1.jpg
nokia-53-03.jpg
nokia-42-1.jpg

Nokia 1.3
nokia-13-01.jpg


Nokia 7.2
nokia-72-1.jpg
nokia-83-5g-1.jpg

Nokia 5.3
nokia-13-01.jpg
nokia-53-03.jpg
nokia-13-01.jpg
 
mkuu najaribu kucheki site yao wananidirect Nairobi, kuna kipindi kupitia app yao walikuwa wanaonesha Tanzania yupo Agent.

Labda anaetumia simu ya Nokia ya Android ajaribu kutumia App atupe Feedback kama Huyo Agent bado yupo.

Okay, ngoja tusubiri.

Thanks.
 
Mimi siku hizi sioni jipya kwenye simu naona kamaubunifu hakuna zaidi ya micamera camera hakuna major changes. Shapes za simu nazo zinafanana si atokee mmoja afanye major changes kama walivyofanya iphone ikabadiri mwelekeo wa simu kabisa
 
Back
Top Bottom