T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 11,996
- 40,532
Nguvu za kufanyia nini? Sijawahi ona mtu hana stamina labda awe na ulemavu au mgonjwa..Kwani kuwa na nguvu ndo unakuwa mlizi au mbeba zege?? We wawapi bhana!!!! , kuwa na mwili jumba bila kuwa na stamina uwo ni umama
Mtu akishakuwa na nguvu za kuhamisha vitu, kubeba at least kilo 35 basi inatosha. Wabeba magunia ya kilo 100 sokoni hawajawahi nizidi chochote kimaisha. Mtu ni HR, muuguzi, karani au mwalimu nguvu gani za ziada unataka awe nazo.