Gwiji wa Sheria na Katiba, Prof. Issa Shivji, Agoma Kuzungumzia Dhana ya Udikiteta/Uvunjifu Katiba!


UMEUA MKUU!
 
SHIVJI HIS JUST À COWARD!KUNA MAMBO MENGI YANAFANYWA KINYUME NYUME MFANO KATIBA KUTOFATWA ETC,HAJAZUNGUMZA CHOCHOTE...WALA KUKOSOA ILA KWA MIMI NAMUELEWA KUWA ANAJARIIBU KULINDA MASLAHI YAKE...ASIJEPOKONYWA

OVA
Mkuu Mtembea, umeniacha gizani just open up just a little bit nipate mwanga.
Nani ametaka kujitoa Ufahamu? .
Hayo ya moyoni ni yepi? .
Nani amempa wakati mgumu mwanae yupi? . Nani nilimtabiria?.
Pasco
 

Hakika Pasco, kauli hiyo ni ya kibaguzi. Naungana nawe kukemea.
Maggid.
 
Gwiji la sheria ni Tundu lissu na wakina kibatala tuu hao wengine wachumia tumbo kama hichi kibabu cha kihindi ndio hatari kabisa
Kuwa na akili wewe acha ushabiki, Tundu Lissu??? Shame on u, kwa impact ipi haswa aliyoifanya kwa taifa hadi akaonekana shuja??? Kwa uzalendo upi haswa licha ya unafiki na maslahi yake kisiasa
 

chief Pasco. kwangu mimi hadi hii leo hili suala la "ni dikteta au si dikteta" bado ni kizungumkuti. whilst nakubaliana asilimia zote kuwa kuna political imbalance katika mwenendo wa siasa nchini mwetu kwa sasa, naona wale (aka opposition) tunaowategemea kututoa kwenye hiyo stalemate ni kama they are either shooting blanks or they are using an incorrect weapon or both.

for starters, juhudi za kupata tafsiri sahihi ya kimahakama kuhusu "je, serekali hii ya 5 ni kidikteta au si kidikteta?" zimefikia wapi hadi hii leo???

Prof Shivji is a smart bloke. he cant afford to compromise himself. ukiimba kaswida watu watajua wewe ni nani. ukiimba pambio watu watakujua wewe ni nani. zama hizi watu karibia wote wamekuwa vuguvugu!
 
majibu
-pengine mzee wa watu anaogopa kutumbuliwa
-hilo la uvunjaji katiba ni dhana tu. ndo maana hata hao wanaoimba ukiwauliza hawawezi kukueleza straight zaidi ya kwenda kuokoteza tu.
 

Hujapata nafasi ya kumuuliza mustakabali wa CUF na hatma ya Prof mwenzie Lipumba?
 

Mkuu mimi binafsi,labda kwa kutomfuatilia kwa karibu lkn sikumbuki ni lini Mh E.Lowasa aliwahi kukili kwa kinywa chake kuwa selikali iliyopo ni ya ki dicteta,zaidi naona tu hawa akina T.Lisu na mr Dj wakilazimisha kuupa airtime sana huu wimbo wao kujaribu kuuaminisha umma kwamba tuna selikali ya ki dicteta,hivyo alichokifanya mzee Shivji ni sahihi tu kwani laiti angefunguka kuwa hakuna dictatorship,kesho angekuwa kwenye frontpage za magazeti kutokana na mapovu ambayo yangejaa humu,wakati mwingine mtu huamua tu kuepusha shari maana anajua fika si muda mrefu nao utajifia.
 
Hujapata nafasi ya kumuuliza mustakabali wa CUF na hatma ya Prof mwenzie Lipumba?
Mkuu Kituko, mambo ya CUF ni pure politics hakuna hoja za kisheria pale ni hoja tuu za kimantiki, kwa vile Shivji ni mwanasheria nguli, mimi nilijikita kwenye hoja za kisheria only.
Pasco
 
Mkuu Kituko, mambo ya CUF ni pure politics hakuna hoja za kisheria pale ni hoja tuu za kimantiki, kwa vile Shivji ni mwanasheria nguli, mimi nilijikita kwenye hoja za kisheria only.
Pasco

Kaka Pasco unalisemea ni la kisiasa, lakini hoja zote zinasimama kisheria (Katiba ya chama) Lipumba anasema yuko pale Kisheria, Maalimu na Wenzie nao wamemfukuza Lipumba nao Kisheria (Katiba ya chama), na Jugde mkuu nae anasema Lipumba bado ni Mwenyekiti na pia amesema Ule mkutano wa Zanzibar sio halali

Sasa unasemaje sio swala la kisheria wakati Judge mkuu keshaingilia ndani na kuzitafsiri sheria?
PAMOJA NA NJAMA ZA KILA AINA, UGOMVI WA CUF UTAISHA KWA KILA MTU KUZITAFSIRI SHERIA NANKANUNI ZA CHAMA NA ZA KUTOKA KWA MSAJILI WA VYAMA PAMOJA NA SHERIA ZA NCHI
 
We can teach from our experience, but we cannot teach experience keep this on mind
Mkuu Natufuta, we don't teach from experience but we learn from experience and teach from the experienced. Nakubaliana na wewe experience haifundishwi itakuwa gained kwa vitendo kutoka kwenye utendaji, but help me out the linkage with this subject matter? .
Pasco
 
Mkuu Kituko, kuna kitu kinaitwa sheria, taratibu na kanuti, hoja za Lipumba sio za kisheria ni za kikanuni tuu, zilihitaji suluhisho la kimantiki tuu na sio kisheria. Lipumba aliandika mwenyewe barua ya kujiuzulu kwa kutoa sababu fulani. Hii ni kanuni tuu sio sheria. CUF walipaswa kuijibu barua ile, lakini kwa vile Lipumba aliwabwagia barua na kutamka zake, hivyo hawakuona sababu ya kumjibu. Baada ya mwaka Lipumba akaandika barua nyingine ya withdraw ile barua ya kwanza ya kujiuzulu. Hapa ndipo hoja za kimantiki zinapokuja, kama alijiuzulu kwa sababu fulani, angeweza kuomba kurejea only if zile sababu sasa hazipo hivyo ni mantiki yule aliyejitoa kuomba kurejea. Lakini kwa CUF sababu zilizomtoa Lipumba kwenye uongozi wa CUF bado zipo, hivyo anarejea kufanya nini?!. Mkutano Mkuu wa CUF ulipokutana wakaamua kuridhia kujiuzulu kwa Lipumba. Kilichotokea sote tunazijua.

Kwa watu wote wenye akili timamu wanajua kinachoendelea ila kiukweli Lipumba sio timamu, he is not in his right mind, amechanganyikiwa fulani! He is insane, ila mtu anayeonekana mjinga zaidi ni Msajili wa Vyama, Mhe. Jaji Mutungi. Ujinga ni ujinga tuu haujalishi nafasi ya mtu! . Kuna wabunge wajinga, mawaziri wajinga, hadi marais wajinga, ila ikitokea majaji kuwa wajinga! ,it is very unusual! .

Kiukweli kwenye kadhia hii Jaji Mutungi anajiaibisha bure tuu, hata kama the motive behind inajulikana, but not this low! .

Hakuna kabisa hoja za kisheria kwenye hili ni hoja za kikanuni tuu! .
Pasco
 
Ndio ugonjwa uliowapata chadema sasa,matusi tu
Mkuu Kabombe, sijaona tusi hapo ni matukano tuu! . Sio kila matukano ni kutukana matusi, mfano tukano la mjinga au mpumbavu ni kutukana ila sio tusi! .
Sisi hapa mtandaoni tuna wajibu wa kutumia lugha ya kistaarabu na kuepuka kutumia lugha ya machukizo! .
Pasco
 

Sound cool with time you will find out...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…