Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Ya Gwajima mwachie Gwajima mwenyewe! Yeye ndie aliyelala lockup, sio wewe, tumuache aamue njia sahihi ya kudeal na masahibu yake, Gwajima is an adult, na badala yake mpe nasaha Bashite ajifunze kuwa na kiasi, madaraka yanapita tu lakini maisha yataendelea!
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
 
Mbona ameuza desa mapema au anaweka pressure ili atumbuliwe kabla ya jpili
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Bora yachelewe kuja, yatawakuta hao watakao kuwepo ila kwa sasa hakuna namna ni kuvuana nguo. Mtu akikupiga ngumi ya pua mpoge za sikio, ule uchungu akiufill hawezi kurudia kumpiga mwingine. Bila yakuonja uchungu tutazoea kuwaumiza wengine, tit 4 tat, beta nkubete,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom