Gwajima atumwa Ninawi, akimbilia Tarshishi, Kawe imtose Baharini

Tanganyika ndo Mahali pekee ambapo Mungu wa Mbinguni amepaandaa kama sehemu salama pa kukimbilia watu wa Mungu.

Zinakuja nyakati ngumu sana ktk uso wa Nchi Kwa Wana wa Ibrahim Kwa Imani, ni wale wamwaminio Kristo Yesu.

Israel ataisikia sauti ya Ukombozi Kutoka mbali, Tanganyika.

Mtu huyo unayemuongelea ndo kiongozi mkuu wa Mahali hapo salama Kwa nyakati hizi za mwisho.

Nashangaa unaposema amevamia mission wakati ndo kaitiwa mission hiyo.

Acha tuishie Hapa.

Aaaamen.
 
Hili jambo kumbe Bado lipo!!?

Nikajua Ni Kakurwa ndie kaandaliwa!na cheche za juzi nikajua ndie!
 
Huyu mtu alikua Hana hata hiyo ndoto, upepo WA sukuma gang ulimzoa , hatarudi bungeni mbeleko imeshavunjika
 
Back
Top Bottom