Kumbe Gwajima ni mcongoman?@mcubic
Kwa video hii iliyowekwa kwenye uzi huu, hakuna mahali ambapo Gwajima amekana kum-support Lowassa.
Amesema yeye alikuwa anasupport mabadiliko ya nchi sio personality au chama!
Which means hakumsupport Lowassa kama mtu binafsi ila kile alichokuwa akihubiri yaani mabadiliko. Mm
naona yuko sawa
Unashangaa nn? Hata tuzo ya amani imetolewa congo
Na alipompigia debe Lowasa pale Arusha wakati Lowasa akitangaza kugombea kupitia CCM; alikuwa anasupport mabadiliko?
Gwajima ni mnafiki wa hali ya juu kabisa......hii ni hatari kwa viongozi wa dini kupinda pinda maneno kwa kiwango cha kisiasa na kurubuni watu wema.
Gwajima yampasa kumuomba radhi rais wa mioyo yetu Dr.W.Slaa