Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

Kila la heri ila hii mitandao ya kuuza na kununua ishakuwa mingi sana. Kwanini usibuni kitu kingine kipya???
 
Mkuu wewe achana na wanaosema copy n paste, wengine hata copy naku paste hawawezi na ndio hao hao wanazungumzia hili jambo. Wewe muuliza kwenye original idea yako ambayo umeiona ni fursa isiyokuwa copie naku paste umeichangamkia kama fursa
..
Ahsante kaka
 
Hongera kwa kazi nzuri ulioifanya

Swali langu ni wewe utapataje pesa kupitia trade zitakazo fanyika kwenye hio website? Ukiachana na Ads/domain

Ni wazo zuri. Ila mm naona hao watu wenye bidhaa kwenye hio platform yako. Ungekuwa una Team yako ambayo imewakagua kuwa ni legit na duka lao au sehemu zao za kazi unazifahamu ikibidi uwe navNida/ TIN number zao hata siku wizi ukitokea unawakuwapata.

Naona ubadili jina la website kama una lengo ya kui scale kuwa kubwa kwani ni wazo zuri balo ata ukiwapelekea watu wakubwa au kampuni wanaweza kukufadhili. Kwangu mimi naona bishoo limelenga sana vijana kwa mawazo ya haraharaka . Je ni kwanini umeamua kuiita bishoo?
Nafanya taratibu na nayachukulla mawazo yenu in positive way..kila kitu nakufanyia kazi ..kwa sasa nimefungua ofsi (physical place ) nadhani itakuwa mwanzo mzuri wa kuyafanyia kazi.
 
Kila la heri ila hii mitandao ya kuuza na kununua ishakuwa mingi sana. Kwanini usibuni kitu kingine kipya???
Mimi yangu classified site kila mtu anaweza kupost chochote ata kama una feni yako mbovu nyumbani unaweza kuipost kutafuta mteja mwenye uitaji..
 
Mimi yangu classified site kila mtu anaweza kupost chochote ata kama una feni yako mbovu nyumbani unaweza kuipost kutafuta mteja mwenye uitaji..
Hapo utaharibu. Itakua kama kupatan.com
Ww weka vitu new au utenge platfom y used ila kuchengany utaaribu
 
Same as kupatana, jiji etc.
Kuna vitu vingi havijafanyiwa kazi sio kwamba hao wamemaliza kila kitu ukija na mpango mzuri biashara hiyo unafanikiwa usije kusema jambo Fulani limeshafanyika au limeshindikana mambo yote yaliyofanyika duniani binadamu katumia asilimia 5 tu ya mawazo 95% bado zipo free kufanya unachokitaka katika kila biashara au kazi
 
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
mzee hio si umeiga kikuuu....kila kitu hadi structure..unaweza kuiga kwa kuweka bidhaa au huduma tofauti mfano...wauza bangi... vyumba vya kuishi au biashara...
 
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Ila tuhakikishie kuwa sii msimamizi msaidizi mwengua vichwa,ili tuje kwa wingi wetu.
 
Website umeiunga na Google search console na Google analytics ili uweze kupata data mbalimbali za namna watuwanvyoifikia tovuti yako na jinsi watu wanavyotumia site yako, ni muhimu na zinasaidia kuboresha site.

Pili, tumia muda mwingi kupata feedback ya wateja ambao tayari wanaposti kwenye hiyo platform yako na ufanye observations za hao watumiaji WA mwanzo, hao ndio watu sahihi WA kukuongoza kwenye nini cha kuboresha, hapa jamiiforums hutopata data sahihi Sana sana utakutana negativity nyingi za wajuaji.

Kama ungekuwa karibu ningekuonyesha kupata traffic ya Google walau hata watu 15,000 Kwa mwezi katika miezi SITA ya mwanzo
 
Lazima negativity ziwe nyingi tukiwa na ukosoaji mwingi pia tutapata solution nyingi ila huwa napingana na watu wanaoamini jambo Fulani haliwezekani kabisa mtu anakuja hapa na kusema mbuni vitu vingine
 
Back
Top Bottom