Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,105
- 2,637
Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za ngono zilizorekodiwa kuenea mitandaoni siku kadhaa zilizopta.
Engonga amekuwa gumzo kubwa kufuatia uvamizi uliofanywa na mamlaka za Guinea Ikweta nyumbani kwake katika uchunguzi wa madai ya ufisadi. Wakati wa uvamizi huo, maafisa walikuta kanda zenye maudhui ya faragha, ambazo baadae zilisambaa kwa kasi, zikileta taharuki na kuibua maswali kuhusu maadili ya viongozi wa umma.
Soma, Pia:

- Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
- Rais wa Guinea Ikweta, amteua Zenón Avomo kurithi Mikoba ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya video za ngono 400
- Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi
- Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi