Group Jipya la wana-CCM kuelekea uchaguzi ujao, watu wamechafukwa

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
1,089
3,128
Dr Kesho: Naomba kutoa Shukrani kuniunga Huku ila kwasasa sihitaji kuwa magroup yoyote ya Kisiasa Wala kijamii Sitaki Siasa.

Mwenyekiti aliyepita: Samahani ndugu zangu, Mie siyo mwanachama wa CCM hivyo sina sababu ya kuwepo humu kwenye mambo ya CCM yenu.

Katibu tawi: Sas mimi kwa upande wangu ni shabiki wa maendeleo sas hata maendeleo yenyewe siyaoni.

Kada: Hodi humu? Habari za usiku?

Tuelewane kwanza: Humu ndani kuna uhuru wa kuongea chochote? Au ndio Afande? Ukikosoa basi ni mpinzani? Ili nijue mapema nijikatae chap .😁😁 kwako admin.

Admin: My friend hata uwe msafi kama malaika kazi ya Ccm ni kukosoa2 watakukosoa JPM hakusafiri nje wakasema Rais gani hasafiri? Mama kasafiri wanasema mbona mama anasafiri? Kwani wewe huji kisa cha kenge kuyakimbia matone ya maji kwakukimbilia mtoni ndani ya maji

Katibu wa Vijana: Vijana hawana ajira na kesho yetu hatuijui,sas twende wapi tukampe matatizo yetu nani....eeh!

Capt: Kubali ukatae kunasehemu atuko sawa kbs kama chama🤔🤔🤔 Chama kinapaswa kufanyia kazi kwa makini sana hali ilivyofikia kwa sasa🙏🙏

Tukiondoa uchama tulionao nchi kwa sasa ni kama haina mwangalizi kila kitu kiko hovyo kbs , nadhani ni wakati wa chama sasa kusimama na kukemea mambo ya hovyo yanayo fanywa na watu wachache wasio na nia njema kbs🙏🙏📌

Kada j; CCM YETU IMEISHA POTEZA MWELEKEO WAJUAJI SANA WATU WAKE.

Oscar: Ushauri kabla ya 2024 wangeitwa wenyeviti wa mitaa na vijiji wajieleze namna walivyotatua kero za wananchi, kwa mfano labda Mwkt y tueleze ulikua na vipaumbele vingapi before uchaguzi umetekeleza vingapi na vingapi umefeli? Hapo tutagundua kuwa next year tuna kazi nyepesi Ama lah

David: Ahadi za mwanachama wa CCM, ahadi ya sita inasema kwamba, nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote. Ahadi namba nane inasema kwamba, nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.WanaCCM wote tungesimamia kwenye msingi huu hakika nchi yetu ingefika mbali.

Kada Ibra: Mimi namuonea huduma mh Rais anaongoza watu wenye shingo ngumu nchi hii ina mwanasheria ina wataslamu lukuki kwanni wasitoke front kutufafanulia? Yaani anaweka huyu akiwa na matarajio mazuri anaboronga anaweka mwingine baada ya muda anaboronga, yaani mpaka, 2025 ifiki kiukweli Mh. Rais anakua ametoka jasho, tumuombee Mungu amuwezeshe.

Mama J: "Uchumi ukiwa mikononi mwa watu wachache huku soko nalo likidhibitiwa na wachache wananchi wanakuwa watwana ndani ya nchi yao wakiwatumikia wachache kwa kipato kidogo huku kipato hicho kikiishia mikononi mwa watu wachache"

Mzalendo: Awamu hii hadi udini umepimwa kwa kipimo na zimejulikana kilo zake

Mjumbe: Mujue tuna miezi michache tu imebaki twende kwa wananchi kuwaomba kura.
 
Kazi ipo 🤔
 
SHIDA YENU NINI HASA . GROUP GROUP
 
Back
Top Bottom