Groomsmen wa Jux mlipaswa kuvaa vazi la Kitanzania sio pink vazi la ki-Nigeria!

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,725
37,066
Inasikitisha Groomsmen wa Jux kuvaa Pink tena vazi la Nigeria! Tuwaeleweje? Bora hata mngevaa lubega la kimasai.
 
Attachments

  • images (32).jpeg
    images (32).jpeg
    42.4 KB · Views: 2
Inasikitisha Groomsmen wa Jux kuvaa Pink tena vazi la Nigeria! Tuwaeleweje? Bora hata mngevaa lubega la kimasai.
Labda walishindwa kujielezea ....umeangalia Young famous African.....

Unaona kaka yetu inavyokuwa shughuli kujieleza..... communication is the key.

Watanzania kuna kile kitu huwa hakipo ndani yetu... that thing...sijui ni kaelezeje...that thing.

Nachangia tu uzi mkuu...
 
😂😂😂😂 sasa si uelezeew
 
Back
Top Bottom