Habari wadau.
Nimekutana na graduates wa UDSM analalamika ajira hapati na yeye ana degree ya Journalism & Mass communication from school of Journalism ya UDSM.
Baada ya kumsikiliza nilimuuliza swali. Kwamba kama ndio yeye anafungua media yake yenye radio na Tv wanakuja watu kuomba kazi.. mmoja ana first class ya UDSM na mwingine ni Millard ayo ambaye ni form failure ana div 4. Yeye atamuajiri nani akajibu Millard ayo.
Nikamuuliza tena kama media yake imepewa event iendeshe na katika waomba kazi hiyo anakuja MC GaraB ambaye ni form 4 failure na mwingine anakuja ana first class ya UDSM.. yeye atampa nani mchongo huo. Akajibu atampa Mc Gara B ili wateja wake waridhike.
Nikamwambia hayo majibu yako huo ndio uhalisia ulivyo.
Baba levo ambaye ni form 4 failure anaajirika kiurahisi kwenye media yoyote kuliko mwenye first class kwa zama hizi.
Wale kina Suzi Bale ama Zai kijiwe nongwa wana nguvu kubwa sokoni kuliko graduate mwenye first class ya Journalism ama mass communication.
Na nikampa mifano hai ya mc garab haijui degree , millard ayo haijui degree wala baba levo haijui degree ila wanagombaniwa