Hussein Abdallah
Member
- Nov 1, 2006
- 73
- 9
You got me right and correct Fundi!!
100% nakubaliana nawe.Hakuna kitisho kizuri zaidi na kinacopendeza zaidi ya pesa a.k.a chapaa a.k.a ankara!!That's waht i meant kama ulinisoma vizuri.Washakula chao na kunawa mikono ila walishau kufuta midomo sasa ndo wanaleta hizi stori ohh mboga ingewaje siuji nini!!!
Damn!! that's why I love Tanzania!!!
Siku nimelamishwa kukimbia na cheque ya 100m siku zile Rostam anagombea Igunga uchaguzi wa Marudio , jana yake serikali ilisema haitumii pesa za walipa katika kusaidia CCM next day ikatokea chini ya Mwinyi kumsaidia Rostam kule igunga nilijiondoa kazini hata leo niko naishi lakini nilikataa kushiriki ujinga wa kukimbizana na cheque baada ya saa tisa na nusu saa za kazi .