daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Nimetumia redmi note 8 yenye 48mp kabla nilikuwa galaxy s8 lakini sikuona tofautiKinacho matter zaidi ni size ya sensor. Ndio maana unakuta 48MP zingine zinazidiwa quality na 12MP sensors. Kma camera ya 108MP itakua na sensor size ndogo kuliko ya 48MP, hyo 48MP itakua na quality nzuri ila resolution ndogo.