Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Kinacho matter zaidi ni size ya sensor. Ndio maana unakuta 48MP zingine zinazidiwa quality na 12MP sensors. Kma camera ya 108MP itakua na sensor size ndogo kuliko ya 48MP, hyo 48MP itakua na quality nzuri ila resolution ndogo.
Nimetumia redmi note 8 yenye 48mp kabla nilikuwa galaxy s8 lakini sikuona tofauti
 
Nimetumia redmi note 8 yenye 48mp kabla nilikuwa galaxy s8 lakini sikuona tofauti
Kimsingi utofaut wa macho ya kawaida ni mpaka ukianza kuzoom au kuprint image yako...kwasababu pixel ni resolution tu..ndomana unawesa shoot kweny 8MP na mambo yakawa vzr tu kama una sensor nzuri..hata 5MP inatosha kwa simu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ulinipa za parot zikagoma zote.
Urnxy 7.3


Nikita 2.0


Nikita 1.7


Mgc 8.1



Hapo mzee lazma zikubali. Itayokubali fresh nambie nikupe configs files zake

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 

sasa walifanya hivi kwa lengo gani,badala ya kushukuru camera zao utopolo zimesaidiwa??
 
Daah mkuu mbona mi yangu samsung A21s i inagoma kaka emu nisaidie basi nipate hij kamera mkuu android ni 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…