Google adsense na propeller ads kipi bora?

Google sasahivi wamekuwa marafiki sana baada ya kugundua kuna ushindani, sikuhizi wanatoa mpaka majibu ukiwauliza, Juzi niliwauliza kuhusiana na tetesi kuwa wanawafungia watu wenye traffic toka fb wakasema hawafungi isipokuwa ukiwashawishi viewers wako wabofye matangazo hapo watalamba account
OK THANKS KWA TAARIFA, ILA HATA BURE SIWATAKI KABISA ADSENSE.. WALI-DISABLE ACCOUNT YANGU IKIWA NA DOLLAR NDEFU SANA... BORA NIPIGANE NA PROPELLAR HAKUNA DISABLE HUKU..
 
Sema propellar matangazo yao hayana nidhamu!
 
Nitakucheki PM mkuu tuzungumze maana mimi napata sana shida kwenye cpc ,earnings na traffic.. Kila niki komaa google analytics naishia 5000 pg views/day... Kwenye events maalum ndiyo atleast nafikisha 20000 plus
Karibu
 
Traffic ni ya wapi unayoitegemea?
USA, UK, AUSTRALIA, GERMAN , NORWAY, SOUTH AFRICA, GHANA NA NIGERIA... JE ADSNESE YAKO INA MDA GANI?? NA UMETOA PESA MARA MARA NGAPI??? ADSENSE SIO WA KUAMINI KABISA HASWA KWA TRAFFIC ZA SOCIAL NETWORK INAWEZA KUFUNGWA MUDA WOWOTE KAMATA MANENO YANGU.. MIMI NILI-CHART NA ADSNSE WENYEWE WAKASEMA TRAFFIC ZA SOCIAL NETWORK NDIO SOURCE YA INVALID ACTIVITY HATA KAMA SITE YAKO NI CLEAN BUT KAMA TRAFFIC KUBWA INATOKA FACEBOOK NI RAHISI KUFUNGIWA MDA WOWOTE...
 
Daaaah
 
Daah naanza kuogopa mkuu... Maana mi hata sijarequest payout... Daah
 
USIOGOPE MKUU HUWEZI JUA.. BUT CHA MSINGI USIWAAMINI.. WATU KIBAO KILA SIKU ACCOUNT ZINAFUNGWA.. UNAWEZA KUTOA MARA KADHAA .. TATIZO KUBWA NI TRAFFIC SOURCES
 
USA, UK, AUSTRALIA, GERMAN , NORWAY, SOUTH AFRICA, GHANA NA NIGERIA... JE ADSNESE YAKO INA MDA GANI?? NA UMETOA PESA MARA MARA NGAPI??? ADSENSE SIO WA KUAMINI KABISA HASWA KWA TRAFFIC ZA SOCIAL NETWORK INAWEZA KUFUNGWA MUDA WOWOTE KAMATA MANENO YANGU.. MIMI NILI-CHART NA ADSNSE WENYEWE WAKASEMA TRAFFIC ZA SOCIAL NETWORK NDIO SOURCE YA INVALID ACTIVITY HATA KAMA SITE YAKO NI CLEAN BUT KAMA TRAFFIC KUBWA INATOKA FACEBOOK NI RAHISI KUFUNGIWA MDA WOWOTE...
Adsense natumia tangu October 2013, kilamwezi tar 22 natoa mpaka USD 500 juzi niliwauliza kuhusu traffic ya fb wakasema haina shida ngoja nikutumie hizo tweets
 
367c53f3f55911a8f59f2b7ef534e8a5.jpg
cd4ba59a2c61950f1e191b4093993f0c.jpg

Moja inaonesha swali, nyingine inaonesha jibu walilonipa.
 
BASI HAO JAMAA KUNA NAMNA HUWA WANAFANYA ITAKUWA KUNA IVALID ACTIVITY HUWA WANAFANYA HAO NDIO MAANA ZINAFUNGWA... JAMAA SIO BURE

MAANA MWENYEWE NATEGEMEA SANA TRAFFIC ZA SOCIAL NETWORK.... NILIKUWA NAOGOPA HAPA
 
Nikweli mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom