maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,063
- 4,675
uyo doi ana elements za umalaya asipoliwa ntashangaa kidogoInaendelea. Ndo naiandika hapa. Najiuliza huyu Doi aliwe pia na shemeji yake au akaze hahahaha.

Sad newsGuys it has been an honor. Hii episode ya mwisho nimeiandika nikiwa na interruptions kibao, so mkikuta makosa ya kiuandishi mvumilie.
Nlikua na lengo la kuipeleka hii hadithi miezi kadhaa ili kila weekend tuwe wote hapa, ila naona weekends zangu zimeanza kuwa very tight. Tukijaaliwa uzima tutakutana kwa visa vingine na nitahakikisha naviandika hadi mwisho ili iwe ni mwendo wa kuvipandisha tu.
Special thanks kwa waliokuwa wanalike kila nilopoandika. Thanks kwa waliosoma na kucomment pia. Ninyi mlikua sababu ya kujiona muda ninaotumia kuandika haujaenda bure. Thanks kwa the silent majority pia, maana kwa namna moja au nyingine mlichukua muda wenu kusoma.
Lets keep in touch ingawa anonymously, na tuendelee kuinjoi visa na mikasa mbalimbali vinavyowekwa na wadau ktk jukwaa hili.
Mwisho niwaombe radhi kwa waliokwazika kwa namna moja au nyingine. Hasa ambao majina yamefanana na wahusika wa kisa hiki. Haikua lengo wala kusudi la mwandishi kutumia majina halisi, imetokea tu ki-nasibu.
Tupo pamojaGuys it has been an honor. Hii episode ya mwisho nimeiandika nikiwa na interruptions kibao, so mkikuta makosa ya kiuandishi mvumilie.
Nlikua na lengo la kuipeleka hii hadithi miezi kadhaa ili kila weekend tuwe wote hapa, ila naona weekends zangu zimeanza kuwa very tight. Tukijaaliwa uzima tutakutana kwa visa vingine na nitahakikisha naviandika hadi mwisho ili iwe ni mwendo wa kuvipandisha tu.
Special thanks kwa waliokuwa wanalike kila nilopoandika. Thanks kwa waliosoma na kucomment pia. Ninyi mlikua sababu ya kujiona muda ninaotumia kuandika haujaenda bure. Thanks kwa the silent majority pia, maana kwa namna moja au nyingine mlichukua muda wenu kusoma.
Lets keep in touch ingawa anonymously, na tuendelee kuinjoi visa na mikasa mbalimbali vinavyowekwa na wadau ktk jukwaa hili.
Mwisho niwaombe radhi kwa waliokwazika kwa namna moja au nyingine. Hasa ambao majina yamefanana na wahusika wa kisa hiki. Haikua lengo wala kusudi la mwandishi kutumia majina halisi, imetokea tu ki-nasibu.
Huezi amini jina langu baada ya hii comment yako nalo limetajwa....😂😂Guys it has been an honor. Hii episode ya mwisho nimeiandika nikiwa na interruptions kibao, so mkikuta makosa ya kiuandishi mvumilie.