Goodluck Ole Medeye aikimbia CHADEMA. Atimkia UDP

!!haha kilalakher et UDP
 
Labda kachukia hajateuliwa kuwa mjimbe wa baraza kuu kama Sumaye. Kila la heri any way maana mzee Cheyo anahitaji kupumzika sasa.
 
Duh!

Kikundi kilichokuwa kinajiita Ulipo Tupo wameanza kufahamu kama Alipo hawapaswi kuwepo!

Shahada ya Uigizaji ya Lowassa aliyoipata UDSM imetumbukuza wengi katika shimo la kisiasa na sasa wameanza kuzikwa kisiasa.

Wako wapi kina Mgeja na Msindai?

Tutaendelea kuona na kusiakia mengi!
 
CHEYO anaonekana bukheri wa Afya, ingawa chama chake hakifanyi vyema siasani, hii inaonyesha MACCM yanamtunza.
 
kila mtanzania ana haki ya jujiunga na chama chochote cha siasa atakacho
 
Mbona hilo bango linaonesha Mkutano Mkuu wa tarehe 26/3/2011? Toa ufafanuzi wa hiyo picha
Mkuu hujasoma disclaimer!!

Lowassa naye nadhani anatafakari. Kimya kingi kina mshindo mkuu!! Kingunge naye anatafakari, Msindai sijamsikia hata mzee Mgeja kakaa kimya; wanapigana na dhamira zao! Hawa wanawezz kwenda kwa Dovutwa
 
Mkuu vipi tena? Unahoji demokrasia ndani ya UDP ilhali kwenye chama chenu hakuna demokrasia! Inashangaza

hicho chama cha undp,wasipijiraja kama leo hivi;huwa nakisahau kama kipo tanzania hii
 
lowasa ndio amewadanganya masha na ole medeye sasa hivi wanajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…