Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 661
!!haha kilalakher et UDP
Kada wa CHADEMA na mbunge wa zamani wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye leo ametangaza kuhamia UDP.
Asema inasimamia haki na demokrasia. Anasema anataka demokrasia ya kweli na jukwaa la haki ktk kuleta haki na maendeleo kwa Watanzania.
Ameyasema haya akiongea na waandishi wa habari muda mfupi uliopita.
DISCLAIMER: Bango linaloonekana nyuma yake halina uhusiano na habari, lipo ofisi za UDP