Pre GE2025 Godbless Lema: Polisi mna hali mbaya, mshahara wa Polisi wa miaka 50, sawa na posho na mshahara wa Mbunge miezi 6

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,498
7,061
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa na viongozi wao.
View attachment 3294281
Mjinga mkubwa mbona akiwa mbunge akipokea hayo mamilioni hakuongeq hayo?

Mnafiki mkubwa alipolamba pesa za ubunge hajawahi ongea
 
Hata kama hakuongea bado haibadilishi kuwa ameongea hard facts, polisi wana njaa kali lakini ndiyo wanatumika kukandamiza opposition.
NB: Kuyapokea mamilioni hata akiingia bungeni muda huu ana haki as long as ni mshahara na posho halali, kwa kuwa CCM ndiyo wanaoliongoza Bunge tusitegemee lolote kubadilika kwanza walishawahi kudai mishara/posho ni vidogo na haviwatoshi(sick....!) hivyo wanataka waongezewe
 
Kwahiyo yeye, akipewa kiti atafanya vipi, watalipwa kma wabunge au wote watashushiwa mshahara au itakuaje, embu tupe facts alizokupa kwenye kikao
 
Mjinga mkubwa mbona akiwa mbunge akipokea hayo mamilioni hakuongeq hayo?

Mnafiki mkubwa alipolamba pesa za ubunge hajawahi ongea
Wewe ni CHAWA ,WEWE NI MALAYA WA KISIASA huwezi kuelewa Kwa sasa

Ukweli ni kwamba LEMA na wabunge wote wa CHADEMA miaka hiyo hawakuwahi kupindisha maneno.
 
Back
Top Bottom