Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,498
- 7,052
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa na viongozi wao.
Kwa upande wa John Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4!
Kwa upande wa John Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4!