S Sexless JF-Expert Member Mar 11, 2017 23,675 55,822 Jul 14, 2024 #41 Huyu Lema naye kajuaje kuwa yeye ndiye atateuliwa na chadema kuwa mgombea ubunge wa Jimbo hilo? Kwanini anapoka nguvu ya wajumbe ndani ya chama?
Huyu Lema naye kajuaje kuwa yeye ndiye atateuliwa na chadema kuwa mgombea ubunge wa Jimbo hilo? Kwanini anapoka nguvu ya wajumbe ndani ya chama?
Mmanu JF-Expert Member Feb 11, 2015 1,753 1,000 Jul 14, 2024 #42 Orketeemi said: Kura zake Kama mgombea wa wapi? Lema anajiona ana hakimiliki ya kugombea Arusha kupitia CDM Click to expand... Hili ni tatizo sana kana kwamba hakuna mwingine kupitia chadema atakayechukua fomu ya kugombea hiyo nafasi ya ubunge... Je ana uhakika gani kama kura za maoni zitampitisha yeye kuwa mgombea? Walakini anao
Orketeemi said: Kura zake Kama mgombea wa wapi? Lema anajiona ana hakimiliki ya kugombea Arusha kupitia CDM Click to expand... Hili ni tatizo sana kana kwamba hakuna mwingine kupitia chadema atakayechukua fomu ya kugombea hiyo nafasi ya ubunge... Je ana uhakika gani kama kura za maoni zitampitisha yeye kuwa mgombea? Walakini anao