Godbless Lema: Mtu atakayeiba kura Zangu 2025 Mimi nitamwiba yeye!

Huyu Lema naye kajuaje kuwa yeye ndiye atateuliwa na chadema kuwa mgombea ubunge wa Jimbo hilo? Kwanini anapoka nguvu ya wajumbe ndani ya chama?
 
Kura zake Kama mgombea wa wapi?

Lema anajiona ana hakimiliki ya kugombea Arusha kupitia CDM
Hili ni tatizo sana kana kwamba hakuna mwingine kupitia chadema atakayechukua fomu ya kugombea hiyo nafasi ya ubunge...
Je ana uhakika gani kama kura za maoni zitampitisha yeye kuwa mgombea?

Walakini anao
 
Back
Top Bottom