johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,049
- 164,351
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini mh Godbless Lema ameonya 2025 hatakubali kuibiwa kura
Lema amesema yeye atamuiba mwizi wa kura zake
Angalizo limetolewa ukurasani X
Nawatakia Dominica Njema 😄
Lema amesema yeye atamuiba mwizi wa kura zake
Angalizo limetolewa ukurasani X
Nawatakia Dominica Njema 😄